Wanafunzi wa vyuo vya ualimu nchini

Wanafunzi wa vyuo vya ualimu nchini

Africanar

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
86
Reaction score
24
Habari za wakati huu ndugu zangu na wananchi wenzangu wa hiki jukwaa la kitaaluma habari za wikienda!
pasipo kupoteza muda mimi si mwenyeji sana wa mtandao huu tukufu ila lengo la kuandaa huu uzi ni kuhitaji kufahamiana na wanafunzi wa vyuo vya ualimu wa ODPE tanzania yaani diploma ya ualimu hivyo kama upo tusalimiane na kuambiana taratibu mbalimbali na vyuo tutokavyo!

karibuni nyote,
kijana wenu geneous [HASHTAG]#africanar[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom