Mod jamani mbona husikii kilio cha watuuuuu!!! tuliashasema thread zinazohusu ubora wa vyuo ziondolewe.
Mod jamani mbona husikii kilio cha watuuuuu!!! tuliashasema thread zinazohusu ubora wa vyuo ziondolewe.
Kaka vyuo binafsi vipo kibiashara zaidi na swala la taaluma hiyo ni kimpango wako mwanachuo utakavyo jiweka ukiwa mtafutaji utatoka na taaluma kama zezeta utatoka kama ulivyoingia chuo,kutokana na hili kuondoa wanafunzi chuo kwa tatizo kama la kufaulu kwa mwanafunzi chini ya kiwango ni kama kudoloresha MTAJI hivyo watawapa GPA nzuri za kuvutia ila kumbe haziwastahili.
Kingine hemu tuwe wawazi kwenye hili,hapa Tanzania vipanga(vichwa) wengi wanaishia vyuo vya umma na hivyo binafsi wanaenda kwa wingi wale waliofaulu kwa kiwango cha chini SOURCE😛rospectus cut-off point.Hapa utaona wale wote watoto wa kishua waliopata mguu nje mguu ndani(nusura ya div 4) ndio wanajazana huko.Ila vyuo vya umma kutokana na michuano zinaingia div 1 na div 2 hapa sanasana udsm,ardhi,muhimbili na mzumbe.Ila vingine unakuta div 3 za kutosha sanasana vyuo vyenye ngazi ya taasisi kama ifm,iaa na tia.
Kwa kumalizia ni vizuri muhitimu akahukumiwa kutokana na usahili na vyeti visipewe kipaumbele sana katika kumjua muhitimu yupi ni fake na yupi ni real.NAWASILISHA.
It is true because I have a real example @ our university(the name in blackets) most of our lectures forces us to use resources which are produced with them by forcing that if u didn't buy that resource u will get supplimentary in u're exam. This is bad behaviour b'se it makes the colie to be domant in everything. What I want to say the government under the TCU should take care and make sure that what is going on, on every universities should be relevant to the government universities by looking the RESOURCES, AVAILABILITIES OF THE PROFFESORS, THE COURSES WHICH IS PRODUCED THERE e.t.c.
Tanzania ni nchi changa na ina mapungufu mengi sana tena mengi yapo kwenye elimu maana taifa lenye wasomi ndio linaloimarika,wewe unadhani jukwaa la elimu limeundwa kuongelea ishu za kitchen party? Hii thread haina malengo ya kukashfu chuo ila imeanzishwa ili wanajukwaa tujadili kuhusu uwezo wa vyuo binafsi ili jamii ijue uhalisia wa hivyo vyuo katika kuzalisha wataalamu.
Mantiki sio kwamba wote wanaosoma vyuo vya umma wanafanya vizuri makazini, hali kadhalika sio wote wanaotoka vyuo binafsi wanafanya vibaya, bali kwa asilimia kubwa kuna tatizo sana makazini hasa kwa wahitimu wa vyuo binafsi mkuu. Labda ni staili inayotumika kufundishia. Kuna mmoja ametuleeza kuwa upo wakati wakufunzi wanalazimisha kutumia "notes' kufundishia huko vyuoni bila kujali zinakidhi kwa kiasi gani mitaala iliyopo...lakini pia tatizo limeanza kuonekana hata kwa baadhi ya vyuo vya umma ambavyo vinajiongezea jukumu la kudahiri wanafunzi wengi pasipo kuzingatia mazingira vyuo husika.KIKWETE, LOWASA, JAIRO, LUHANJO, KAPUYA, MUNGAI, Walisoma vyuo binafsi?Nimetaja wachache tu. Mama yangu aliwah kuhudhuria interview moja ya kazi. Wanachuo waliotoka UDSM walitia aibu. Unaambiwa hata hzo barua za maombi ilikuwa shida.Potential ya mtu kazini ni mtu mwenyewe, na si chuo alichosoma.Nawasilishaa
vyuo vya kibongo vyote uozo mtupu na ubabaishaji......tunasoma kwa nadharia ila practical hamna kitu kama unabisha mtafute mtu anayesoma it au computer science mpe kazi ya kitendo ......yaani utacheka anachokifanya