Wanafunzi wa O-level na A-level

Wanafunzi wa O-level na A-level

jau jau

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
38
Reaction score
30
Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni.
Haya uwanja ni wenu.
 
Nyie madogo izoo smart mmetoa wapi????? Enzi zetu tulikuwa hatuna hata simu ..
.Leo hii mnapata hadi handle la jf...aiseee atareeeee
 
Mngejua maisha yalivyo taiti na jinsi utajavyoaibika na kuhaha ukilamba 0, msingeleta mbwembwe kwenye majukwaa huku ambako watu washakata vidato vyote hawana mawazo tena na shule.
 
Acheni maneno wakuu naona mmepakazia mpaka wanafunzi wamekaa kimya....hili ndilo jukwaa lenye watu wa kuwasaidia na sio kuwatenga kama mnavyosema. Na huu ni muda wa likizo wakuu
 
Acheni maneno wakuu naona mmepakazia mpaka wanafunzi wamekaa kimya....hili ndilo jukwaa lenye watu wa kuwasaidia na sio kuwatenga kama mnavyosema. Na huu ni muda wa likizo wakuu

Likizo wajisomee ili wafike kwenye level ya elimu yenye manufaa kwao. Waachane na mitandao. There time will come.
 
Back
Top Bottom