Huu mtindo wakuwalazimisha watu kwenda sekondari huku uwezo mdogo na hawapo tayari tena bila hata support ya wazazi nikupoteza rasilimali za taifa bure. Fani zipo nyingi wawaache wachague vitu wanavyo penda kusomea.
Dogo ameona mbali sana na hakuna hata mmoja aliyepaona!! Serikali za kiafrika viongozi wanapenda kusifiwa na kulambwa miguu ndio upate cheo na sio suala la uwezo!! Hivyo dogo alijua kama kila mtu anamsifia mkuu na kupata shavu kwanini yeye asifanye hivyo? Usije shangaa yupo Lumumba kama muhamasishaji! Viongozi wakiwa kwenye ziara watoto hutolewa madarasan kwenda kuwashangilia na hayo ndio matokeo yake!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.