Mtove unaguna nn?Mmmm
naskia hainaga uanafunzi wanakulaga.... !!Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!![]()
kalagabaho!!Mwalimu ambaye yuko serious na kazi yake hawezi kutongozwa na MWANAFUNZI WAKE. M
Kama unatongozwa jichunguzeeee
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!![]()