Wanafunzi:Tumelazimishwa kujiunga na M23

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Wanafunzi wa Rwanda wamelalamikia serikali yao kwa kuwalazimisha kujiunga na M23 ya Congo. Wameyasema hayo walipokuwa Uganda baada ya kukataa kurudi kwao Rwanda wakidai sio salama, wamedai kuna wenzao ambao walikuwa wanasoma pamoja serikali ya Rwanda iliwachukua na kuwapeleka Congo Walikuwa wakihojiwa na shirika la Voice of Amerika(VOA)
 
Siku za Kagame na m23 zinahesabika!!!
 
Seems JF international imekuwa propaganda mouth ya Ant Kagame movement,and sad thing JF members are falling for this garbage,JF international front page alone kuna more than 10 topics for Kagame and all negative....something very fishy here!!!
 
Kagame ni tishio kwa usalam maziwa mkuu na ni Gadafi aliyefufuka!!
Kama una topic zingine na wewe weka tutachangia
 
aibu aliyoipata kule london nadhan itamfanya ijiulize mara mbilimbili!!!!
 
Seems JF international imekuwa propaganda mouth ya Ant Kagame movement,and sad thing JF members are falling for this garbage,JF international front page alone kuna more than 10 topics for Kagame and all negative....something very fishy here!!!
Nadhani rais wako Kagame yaani hatarudi London mapaka azikwe sijawahisikia eti Rais yupo nchi za kigeni then anatupiwa mayai viza.Na wazungu wanavojua kucheza wala hata kuwakataza waandamanaji wapi.Walishamtumia vya kutosha so hawamhitaji tena
 
Siku za Kagame na m23 zinahesabika!!!

Umeona ee??? Kagame ni dizaini ya Farao wa zama za nabii Musa. Kama ambavyo Farao alikuwa na kiburi na shingo ngumu na kupata kipigo, ndivyo itakavyomtokea Kagame na M23.
 
Back
Top Bottom