Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Sep 7, 2009 #1 Habari tulizozipata sasa hivi zinasema kuwa wanafunzi wa shule ya secondary ya Tabata wameangukiwa na ukuta wa shule hiyo, habari zaidi za majeruhi na vifo kama vipo, tutawaletea tukitoka sehemu ya tukio.
Habari tulizozipata sasa hivi zinasema kuwa wanafunzi wa shule ya secondary ya Tabata wameangukiwa na ukuta wa shule hiyo, habari zaidi za majeruhi na vifo kama vipo, tutawaletea tukitoka sehemu ya tukio.
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Sep 7, 2009 #2 ni shule ipi hiyo?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,454 Reaction score 5,354 Sep 7, 2009 #3 Magezi said: ni shule ipi hiyo? Click to expand... Tusaidie tafadhali,kuna ile ya tabata kimanga karibu na kamene na kuna ile iliyo karibu na Dar west Park. Ni ipi kati ya hizi mbili?
Magezi said: ni shule ipi hiyo? Click to expand... Tusaidie tafadhali,kuna ile ya tabata kimanga karibu na kamene na kuna ile iliyo karibu na Dar west Park. Ni ipi kati ya hizi mbili?
Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Sep 7, 2009 Thread starter #4 Malila said: Tusaidie tafadhali,kuna ile ya tabata kimanga karibu na kamene na kuna ile iliyo karibu na Dar west Park. Ni ipi kati ya hizi mbili? Click to expand... Ni ya Tabata kimanga
Malila said: Tusaidie tafadhali,kuna ile ya tabata kimanga karibu na kamene na kuna ile iliyo karibu na Dar west Park. Ni ipi kati ya hizi mbili? Click to expand... Ni ya Tabata kimanga
Mopao Josee JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 280 Reaction score 1 Sep 7, 2009 #5 vp tupeni taarifa zaidi,tatizo lilikuwa nn?
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 Sep 7, 2009 #6 Poleni waathirika. Maana nasikia kuna mvua nyingi na mafuriko huko kwetu (Africa).
Nkamangi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2008 Posts 641 Reaction score 34 Sep 7, 2009 #7 Cynic said: Poleni waathirika. Maana nasikia kuna mvua nyingi na mafuriko huko kwetu (Africa). Click to expand... ??? unapata wapi hizi taarifa ndugu? Afrika ipi? mbona tunalalamika ukame? Au mara yako ya mwisho kupata habari za huku ni ule wakati wa El nino?
Cynic said: Poleni waathirika. Maana nasikia kuna mvua nyingi na mafuriko huko kwetu (Africa). Click to expand... ??? unapata wapi hizi taarifa ndugu? Afrika ipi? mbona tunalalamika ukame? Au mara yako ya mwisho kupata habari za huku ni ule wakati wa El nino?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Sep 7, 2009 #8 Wakuu tujuzeni ni nini kinaendelea na ilikuwaje?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,454 Reaction score 5,354 Sep 7, 2009 #9 Kaitaba said: Ni ya Tabata kimanga Click to expand... Ni ile iliyokuwa ikimilikiwa na wazazi?
M MzeePunch JF-Expert Member Joined Jun 8, 2009 Posts 1,412 Reaction score 210 Sep 7, 2009 #10 Ni sehemu ndogo sana ya ukuta wa jukwaa lililopo shemu ya nje ya complex ya St Mary's International School Tabata. Hakuna madhara yoyote.
Ni sehemu ndogo sana ya ukuta wa jukwaa lililopo shemu ya nje ya complex ya St Mary's International School Tabata. Hakuna madhara yoyote.