Kipindi kile kule kijijini kwetu ilikua walimu wakijenga au wakiwa na ndugu zao wanajenga basinkazi ya mwanafunzi ni kwenda kusomba tofali.... na nyumba ikiisha mnalazimika kuleta nyasi za kuezekea au majani ya migomba yaliitwa "madafa"
Kazi kweli kweli... ila ndo maisha ya kijamaa