Wanafunzi masomo na kuwahudumia walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi masomo na kuwahudumia walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Candid Scope, Aug 1, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe​
   
Loading...