DOKEZO KERO Wanafunzi madarasa ya mitihani (Bukoba Vijijini) wanaacha shule kwa kukosa michango ya kambi ya maandalizi

DOKEZO KERO Wanafunzi madarasa ya mitihani (Bukoba Vijijini) wanaacha shule kwa kukosa michango ya kambi ya maandalizi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa ajili ya kujisomea jambo ambalo ni zuri ila sasa HII WAMEIFANYA KUWA LAZIMA WANAFUNZI WANAOSHINDWA KULIPA HAWARUHUSIWI KABISA HATA KUHUDHURIA DARASANI MATOKEO YAKE WATOTO WENGI WA MASKINI WAMEACHA SHULE kwani na ushahidi upo.

Viongozi wa shule, Kijiji, Kata, tarafa, wilaya, Mkoa hadi Taifa wapo na mambo haya yanaendelea Watu na "Elimu ni Bure".

Tunaomba mamlaka husika ziingilie jambo hili mapema Wizara ya Elimu, TAMIESEMI nk wasaidieni vijana wetu🙏

Pia soma ~ Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

ruhunga-classroom.jpg
 
Shule za Sekondari vijijini wanafunzi wanaacha shule kwasababu ya kukosa hela za michango.

Ruhunga Secondary iliyoko katika mkoa wa Kagera, Bukoba vijijini, tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2&4) kuweka kambi shuleni kwaajili ya kujisomea jambo ambalo ni zuri ila sasa HII WAMEIFANYA KUWA LAZIMA WANAFUNZI WANAOSHINDWA KULIPA HAWARUHUSIWI KABISA HATA KUHUDHURIA DARASANI MATOKEO YAKE WATOTO WENGI WA MASKINI WAMEACHA SHULE kwani na ushahidi upo

Viongozi wa shule, Kijiji, Kata, tarafa, wilaya, Mkoa hadi Taifa wapo na mambo haya yanaendelea watu na "Elimu ni Bure"

Tunaomba mamlaka husika ziingilie jambo hili mapema wizara ya elimu, tamisemi nk wasaidieni vijana wetu🙏

View attachment 3448746
mitano tena
 
Kumbe hesabu zinasoma kama ifuatavyo:-
NIDA+TUME+CCM=MATOKEO YA UCHAGUZI.
Duuuuh si mchezo
By GRAMAA
 
Hilo ni tatizo la kitaifa hapa Dar wanafunzi wanalazimishwa kwenda shule siku ya jumamosi kwa ajili ya kufanya mtihani tu na mitihani yenyewe inalipiwa 1500 cha ajabu wengine hawamo kwenye madarasa ya mitihani yaani darasa la 5 na 6 shule ipo Mabwepande inaitwa mji mpya yaani inakera
Hayo madarasa ya mitihani kila siku 300 hapo bado jumamosi na bado pesa ya kujikimu mtoto shule na ya chakula kifupi ni mzigo kwa wazazi
 
Hilo jambo siyo vijijin tu mpaka hapa mjini Dar, zipo shule za sec. ni lazima mtoto aende na buku la chakula daily tofaut na hvo hupitia mateso san mpak anafika class, sasa vp kwa mzazi mweny watoto wa4 au wa5??
Hapo bado, nina dogo yuko darasa la pili wao daily wanatakiwa hela ya mitihan miwil per day and ijumaa wanafanya ya masomo yote. Sasa hawa madogo wanasoma wakat gani ikiwa mda wao wa kutoka ni sa5 au sa6 hapo bado mtoto anatakiwa awe na hela ya uji pia.
ELIMU BURE NI KAMA HAIPO TENA
 
Back
Top Bottom