Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
Ila wengi ya hawa wanafunzi walinyimwa fursa ya kupiga kura Salary Slip
Ni kweli lakini hawatamkumbuka kwa kujilaumu bali watamkumbuka kama mkombozi alienyimwa fursa ya kuwakomboa.Ila wengi ya hawa wanafunzi walinyimwa fursa ya kupiga kura Salary Slip
Hapo umeongea ukweli mchungu kwa wazazi wa aina hii.Wanao lipa ada ni wazazi wao je hawakulijua hilo?
Leo nimeshuhudia wanafunzi wa vyuo vikuu waliokusanyika Bodi ya Mikopo wakidai kupatiwa mikopo huku wakijibiwa kuwa hawawezi kupata mkopo kwasababu hawana sifa za kupata mikopo.
Hii ndio tofauti kubwa kati ya CCM na UKAWA ambao wao UKAWA waliahidi, kupitia Lowassa, kutoa elimu bure mpaka chuo kikiuu.
Pole sana vijana hii ndio CCM ambayo haiwezi kubuni sera rafiki kwa mtanzania masikini mpaka kwanza CHADEMA wazibuni sera hizo alafu wao waje ku-copy na ku-paste kama kawaida yao.
Bodi ya mikopo wenye vigezo ndio wanakopeshwa,na kigezo kikubwa ni ufaulu na kozi unayosoma
Kuna anayeenda chuo kikuu bila kufaulu
Unapotoa mkopo huwezi ukampa aliyepata division III ukamnyima aliyepata division I na huwezi ukamnyima alichaguliwa Ualimu,Udaktari au Engineering ukampa mkopo anayeenda kusoma Political Science au Human Resource
Kuna anayeenda chuo kikuu bila kufaulu
Bodi ya mikopo wenye vigezo ndio wanakopeshwa,na kigezo kikubwa ni ufaulu na kozi unayosoma