wenye sifa? mbona kuna wanafunz wanasifa hawajapat kam yule kijana aliesaidiwa kutoka udsm.pia udsm wanafunz wamedahiliwa kama elfu 7 na iv...afu walopata loan ni elfu 3 na iv.....hapo vp?Ni kweli nimemsikia prof Ndalichako akilitolea ufafanuzi hilo bungeni leo hii.
Taarifa tulizokuwa tunapewa humu ulikuwa ni upotoshaji mkubwa sana kuwahi kutokea.
Hata kama ni siasa hii sasa imezidi.
Hakuna mwanafunzi atakae kosa mkopo kwa wenye sifa za kupewa mkopo. Wafuate tu maelekezo wakapewe mikopo.
Siasa za kijinga zitatuponza watanzania.
tatizo haikuwa ushawish au wanafunz kugoma kusain bali ni utaratibu ilikuwa ili uweze kusain n mpaka uwe na new id,ambapo weng ada walikuwa bado kulipa so wasingeweza kuwa na izo ids bila kufanya reg.so ndio mana wengi hawakuwa wamesain,na sio kwamba hawakutaka.Kama ulimsikia vizuri sifa ni zilezile ila kuna baadhi walifanya udanganyifu na wengine hawakutoa taarifa za kujitosheleza hata kama walikuwa na sifa za kupewa mikopo.
kuna taarifa zilisambaa kuwa hata wale wanafunzi waliopewa mikopo mwaka ulipita nao wafutiwa. Si kweli wanafunzi hao walishawishiwa kugoma kusaini form za mikopo na kupewa pesa zao. mfano ni UDSM, pesa zilipelekwa hapo tangu tarehe 15/10 lakini wamesain wachache wengine walikataa kutokana na ushawishi.
Waziri amewataka wakakamilishe taratibu ili wapewe pesa zao kwasababu zipo hapo tayari.
Hakuna kitu hapo wewe,hapo ni kujisafisha kuonekana heslb ndo kuna tatizo Lakini tatizo liko serikalini.Hivi mbona watu mnakua wepesi kudanganyika?Swali ulimsikia waziri leo???
mkuu wewe unachong'ang'ania ni serikali kuonekana Imedanganya.wenye sifa? mbona kuna wanafunz wanasifa hawajapat kam yule kijana aliesaidiwa kutoka udsm.pia udsm wanafunz wamedahiliwa kama elfu 7 na iv...afu walopata loan ni elfu 3 na iv.....hapo vp?
Na hizi fununu za kwamba wanafunzi walio soma private schools kuwa hawana kigezo cha kupewa mikopo wewe unatathmini vipi!?uache ujinga..hizo pesa ziko kwenye budget ila mh rais anataka vigezo tu..nakuhakikisha hakuan forgery..Sasa unataka atoe pesa bila uhakiki
sijakwambia,tubishane.we unafikir ni makosa gani yametokea au wameteleza na wapi na je katika hyo bajet ya 483 hyo ya watu walokosea wamo au? haitakiw kufany uzemb katik mambo ya msing na muhimu kam hayo bhana.mkuu wewe unachong'ang'ania ni serikali kuonekana Imedanganya.
maswali unayouliza yameshatolewa ufafanuzi.
Umesha ambiwa kuna makosa yalifanyika kwahiyo zoezi linaludiwa upya kwa awamu ya pili.
sijui unaelewa mkuu. kama ung'ang'nia hayo ya kwako haya mimi sina muda wa kubishana hapo.
Nashindwa kuelewa kwann serikali isitoe asilimia sifuri hiyo pesa ya kujikimu kwa kila mwanafunzi wa elimu ya juu na hizo ada na mambo mengine ndio kukawa vipaumbele...Mtoto wa maskini anaishije mpk Jan 31, na wengine wameambiwa walipe nusu ada, nakushangaa unashadadia [emoji21][emoji21][emoji35][emoji35]mambo usiyoyajua
Soma regulations za vyuo ndio utapata ninachokisema. Kama watachukua miezi 3 kutoa majibu ya appeal ili uendelee kuwa mwanafunzi lazima upate njia nyingine ya kujilipia otherwise ukiwa nnje ya chuo kwa miezi 3 (semester 1) inabidi uahirishe masomo na semester ifuatayo huwenzi kurudi na mwisho wa semester ya pili huna results ndio imekula kwako.serikali isinge toa pesa onyo bila uhakiki hizo porojo nyingine acheni.
fuateni maelekezo mkapewe mikopo.