Basi mbali na kuj*mba,
kuna ile tabia ya kucheka mtu anapobanja aka (mtu anapokohoa afu ghafla anatoa mak**hozi).
Basi siku moja tupo lecture UDSM-THEARTER ONE pale,katikati ya kipindi kipindi kimekolea kweli kweli. Prof Suleiman anamwaga mambo, watu kimya tumeconcetrate GHAFLA Jamaa "AKABANJA" aka AKAKOHOA MAKOHOZI. Wacha Prof aanzishe kucheka Bwana darasa zima likawa lìnacheka take almost 10min watu wanacheka.