S Samky.e New Member Joined Nov 30, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Dec 2, 2011 #1 Ticha wa std 1 ka..amba class wanafunzi wakaanza kucheka ticha kuua soo kaua kipindi sasa next periodi ticha:tuliishia wapi kipindi kilichopita? Wanafunzi😛ale ulipojamba mwalimu!
Ticha wa std 1 ka..amba class wanafunzi wakaanza kucheka ticha kuua soo kaua kipindi sasa next periodi ticha:tuliishia wapi kipindi kilichopita? Wanafunzi😛ale ulipojamba mwalimu!