A ARUSO Member Joined Jul 12, 2017 Posts 95 Reaction score 94 Jul 15, 2017 #1 Ambaye anawajua wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa kwenye mithani wa kidato cha sita aweke hapa majina hayo.
Ambaye anawajua wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa kwenye mithani wa kidato cha sita aweke hapa majina hayo.
A ARUSO Member Joined Jul 12, 2017 Posts 95 Reaction score 94 Jul 15, 2017 Thread starter #2 Nimejaribu lakini sijaona
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Jul 15, 2017 #3 6 kati ya hao wanatoka Songea boys
A ARUSO Member Joined Jul 12, 2017 Posts 95 Reaction score 94 Jul 15, 2017 Thread starter #4 Deo Corleone said: 6 kati ya hao wanatoka Songea boys Click to expand... Wataje
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,092 Jul 15, 2017 #5 Old mosh now imeshuka Sana aisee [Color= yellow]Triple A[/color]
E Elvice Bernard New Member Joined Jul 14, 2017 Posts 1 Reaction score 1 Jul 24, 2017 #6 usser said: Old mosh now imeshuka Sana aisee Triple A Click to expand... Duh songea boys!!
Huliza JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 448 Reaction score 1,114 Jul 24, 2017 #7 Elvice Bernard said: Duh songea boys!! Click to expand... Hivi hii shule ina umeme siku hizi ?
D DABAI Member Joined Oct 20, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Oct 23, 2017 #8 Huliza said: Hivi hii shule ina umeme siku hizi ? Click to expand... umeme upo fulu mkuu