Wanafunzi 600 tu kati ya 7000 chuo kikuu UDSM

Wanafunzi 600 tu kati ya 7000 chuo kikuu UDSM

mdafanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
618
Reaction score
197
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wengi wakosa mikopo vyuo vikuu.
 
hela zote wamepewa kina sepetu wafanyie birthday party na kujinunulia magari makali.....Tanzania nchi yangu naipenda
 
Ccm wameipendaaa mwaka huu watisoma nambaa

Ccm seremaaaaa
 
Na hili nu trela picha lenyewe bado.....
 
Ccm Ni Ile Ile
Ccm Imechoka Tuitoe, By Magufuli.
 
jamani niko hapa DUCE wanafunz wamekata tamaa hatar mfano watu 56 tu wanaosoma BAED ndio waliopata mkopo ....its shame to the responsible authority
 
Hapa kazi tu, hapa boom tu! Mamvi wangekuwa pale saa hizi aaaaaah, kama kumsukuma mlevi topeni!
 
mtaisoma number,c mlijifanya kuwa team lowasa nyie au mlidhan hatuwajui?
##ccm mbele kwa mbele##
 
Back
Top Bottom