Hivi kupata ujauzito ni ajali? Mtu ambaye yuko chuo ni mtu mzima hawezi pata ujauzito kwa kushawishiwa na mtu mzima mwenziye bila kuridhia. Wangekuwa wako elementary au ordinary level ningekubali kuwa kuna vishawishi lakini kwa hili napinga hoja. Wakiacha kuzaa kwa umri huu walionao mnataka wazae in their fourties? You cant be serious