sasa hivi kweli unataka kusema maisha hapa nyumbani ni marahisi??
labda hao ambao wanajaribu kuzuia hizo rushwa waangalia njia ya
kuuondoa maisha magumu ( umaskini) sio wote bali kwa kiwango
fulani.. we wacha bwana maisha yakiwa magumu na unafamilia ya
kuilisha wewe tu ndo unaeangaliwa nyumba , hujasoma , huna kazi
na huna mbele wala nyuma usema ukweli utafanya ufanyalo kuitunza
na kuilinda familia yako.. vitu vingine si vakujitakia vinakuja na vipo
na hayo ndo maisha...
embu njoo kona baa nikueleze vizuri
hahah lol