Wanafanana

Nina mashaka hawa watu wana undugu bila wao kujijua. Aidha wanajua ila ni kama siri kwao.
 
😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray:
 
Wazee wetu wa busara hawa! R.I.P Mr. Chinua Achebe! Things have really fallen apart! We will always remember you sir!
 
Ni kizazi cha kina Ngugi, Sembene, Soyinka. Sidhani kama kuna wengine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…