Wanafamilia wa mchungaji Kimaro wamnunulia zawadi ya Gari V8 Askofu wa KKKT Kaskazini, Mwigulu na Saasisha kumkabidhi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,524
142,799
Wanafamilia wa mchungaji Kimaro wamechangishana na kumnunulia Gari Askofu Kimati wa KKKT huko Moshi na gari hilo litakuwa ni mali binafsi ya baba Askofu na siyo ya Kanisa

Familia ya mchungaji Kimaro imejumuisha Watu wake wa karibu pia wakiwemo Dr Mwigullu, Dr Mollel, mh Saasisha, mh Godbless Lema, mama Mkapa, mama Magufuli, Dr Hans Macha, mh Mchechu, Dr Kimei, Millard Ayo, mh Kidiva, mh Sanga na wengine wengi

Source: Chomoza TV
 
Kila penye ishu ya hela hapo kanisani kimaro yupo 🤣🤔
 
Mungu awabariki, Sifa zote ziende kwa Mungu anayewapa watu utajiri
 
Pesa inaongea
 
Mali za dunia na vyote vilivyomo.
Huyo Askofu bado kupewa miss Moshi tu ili nafsi yake iendane kidunia.
 
IS THIS NEWS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…