Wanaenda Kuweka Mpira Kwapani

Wanaenda Kuweka Mpira Kwapani

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,253
Reaction score
10,248
Iko hivi, Ijumaa tutaweka Mpira kwapani, tutatumia njia kati ya hizi mbili

1. Sukuma mbele tarehe ya TUKIO
2. Achia Huru, Kata rufaa


Lengo kuu ni tuendelee kuwa nae kiaina, Kuna Mchongo TUNAUSKIZIA
 
Lipeni deni la taifa linazidi kukua. Mmebakia kuwaza ujinga tu. Kwa Sasa limefika Trilioni 120
 
Back
Top Bottom