Wanachuo Watarajiwa Hii Ni Yenu + HESLB

Aug 11, 2012
76
3
taarifa Kutoka HESLB ha ha ha ha kama Una Div
3 na wewe ni Arts Sahau kitu kinachoitwa
Mkopo.....jipange Kuanzia Leo
wale wenye div 1 & 2 hakuna atakayepewa zaidi
ya 50 % jipangeeeee ha ha ha ha
usipokuwa Makini Mtu Unaweza Acha Chuo data
zipo na Mifano Mingi
ha ha ha ha Kama Hujawahi Kukonda Mwaka
Huu utalijua Jiji iwe unamkopo iwe Huna..kuna
Kipindi cha Kufulia
ha ha ha ha
kuna Wakati Utakumbuka Maharage na Uji wa
Shule Kwa Wale waliotoka Boarding
ha ha ha
na wale Waliopiga Day watakumbuka home
aseeee
Kama Unafkiri Chuo Ni Mahali Pa Kutafuta Demu
Basi Jiandae maana ARV kule Ni kama Panadol
Tuu
ha ha ha
pia Kama unafkiri unampango Wa Kushindana
Kuvaa ha ha ha Umeumia kaka ha ha ha ha
je wajua Boom likikata Kipochi Manyoya ndio
Habari ya Mjini..kinauzwa
***Siwatishi jamani ila Kujipanga wazeiya ndio
Kila Kitu*****
Ukifuata mkumbo hakuna Rangi Utaacha ona
Simama Wewe Kama Wewe!!!!
Ha ha ha ha ha
sema MUNgU nisaidie!!!
 
Ahsante kwa kuwasilisha taarifa mkuu, ila tusiwakatishe tamaa watu wa arts jaman, tusubirin siku bodi wakitangaza majina tu ndo tu'comfirm hizi taarifa, bt ndugu zangu wa arts lisemwalo lipo kwa hyo tujipange mapema tusijeshindwa kwenda chuo tutakapokosa mkopo.
 
okay point unayo lakini hajaiwakilisha kama gt kama kawaida yako..iyo hahahaha haikupaswa kuwa hapo coz ulichokiwakilisha ni cha maana..xo jipange!!!
 
ku****vu sana!!! sasa wewe unaandika ujinga kama huu..na kucheka cheka kama kuku amekatwa kichwa!!! mkuu naamini una info nzuri ila kwenye kui present ndo umeharibu kila kitu!!!! KAJIPANGE HUKO!!!
 
what you were trying to adress was so obvious and useful ila nimejikuta naishia kucheka cheka tu mpaka mwisho wa hii thread ha ha ha ha ha ha.mwe JF Bhana!!!
 
Back
Top Bottom