Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali ikiwepo kutumia madaraka yake vibaya, kutumia pesa vibaya,kuendeleza ukabila (uhaya)chuoni nk. kulikosababisha migomo mara kwa mara chuoni hapo, ameondolewa kwa shinikizo kali kutoka serikali ya wanafunzi chuoni hapo.
Mkataba wa mkuu huyo ulikuwa unaisha 2/2/2011 na alikuwa anatarajia kuu-renew tena lkn serikali ya wanafunzi ilimkomalia na kusitisha uwezo wake wa kurenew.
Kuanzia leo asb chuo hicho kitakuwa kinaongozwa na makamu mkuu wa chuo mpaka mkuu mpya atakapo patikana.
HONGERENI WANACHUO WA USTAWI.
Kwani vyuo vyooote vyenye migomo kila kona ya nchi vinaendeshwa na kabila hili? au una gubu na kijiba cha roho.someni acha kulalama haisaidiiHabari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali ikiwepo kutumia madaraka yake vibaya, kutumia pesa vibaya,kuendeleza ukabila (uhaya)chuoni nk..
mmh, hata hivyo serikali imemchelewesha sana huyo mheshimiwa, sijui alikuwa akisimamia maslahi ya nani? nakumbuka enzi za mwakyusa akiwa waziri wa afya na enzi kikiwa bado chini ya wizara ya kazi huyo mkuu alikuwa na kashfa nyingi sana na kama ni kuwajibishwa basi hata mwakyusa asingmkuta kazini! serikali imechelewa mno, kuna mpaka idara moja (HRM department) iliondolewa accreditationa kutokana na madudu ya mheshimiwa huyo. eti aliajiri watu wake wenye advanced diploma na kuwaingiza madatasani kuwafundisha wanafunzi wa degree baada ya walimu kumkimbia!
(hapo kwenye red)
peleka uongo wako huko.
kang'olewa na wanafunzi.
serikali yenu inaweza kumuondoa mtumishi kazini?
kwa jinsi ninavyoifahamu nchi yangu na kuwa viongozi ni vinganganizi wa madaraka hasa vilaza kama huyu roshogora, basi kama siyo vuguvugu la hao wanafunzi na migomo inayoendelea nchi nzima huyu asingekataliwa ku-renew huo mkataba wake
yap, hapo ndipo ukweli unapolalia
(hapo kwenye red)
peleka uongo wako huko.
kang'olewa na wanafunzi.
serikali yenu inaweza kumuondoa mtumishi kazini?