St. Joseph sio chuo cha kujiunga kabisa kama unahitaji kusoma, kuanzia college of engineering kule mbezi na college nyingine zote
#mm mwenyewe ni victim wa hiki chuo sababu nilisoma semester moja ikanilazimu niache chuo kutokana na madudu ya hawa wanaoitwa wahindi aka wadosi