Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Chadema hamna kiongozi yoyote wa juu muislamHivi sasa kuna fukuto kubwa miongoni mwa Waislamu kila unapofanywa uteuzi ndani ya Serikali wao huangalia kama kuna muislamu yeyote ameteuliwa. Mara nyingi huambulia patupu. Kwenye vyombo vya habari kama Gazeti la "Mizani" humo kina Sheikh Khalifa kwa juhudi kubwa hadi wamefikia kuchapisha majina ya waislamu ambao wanadhani wana sifa ya kuteuliwa kwenye teuzi zinazofanywa.
Mimi si muumini wa siasa au maisha kwa kuangalia vigezo vya dini ya mtu, lakini kama ipo dhana ya dini au kundi fulani la watu katika jamii linaona kama linabaguliwa ni vema jambo lenyewe likafanyiwa kazi. Ni kweli kwamba waislamu wanabaguliwa kwenye nchi hii na chanzo cha kubaguliwa kwao ni nini na anayewabagua ni nani?
CCM ni zao la TANU na ASP, kwa maana nyingine vyama hivyo viwili ndiyo asili ya CCM. Hapa hatuwezi kuijadili ASP kwa kuwa kwa muktadha wa mada hii yenyewe moja kwa moja haifai kujadiliwa. Mara baada ya Uhuru kulikuwa na vyama vingi vya siasa mpaka pale vilipopigwa Marufuku na TANU mwaka 1965. Jee waislamu waliunga mkono chama gani kati ya TANU na hivyo vingine?
Miaka 27 baadaye mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa hapa nchini na CCM iliyozaliwa kwa kuunganisha vyama vya ASP na TANU, nacho kikajivika uhai kabla hakijazaliwa kisheria. Tangu hapo hadi sasa nchi yetu imekuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa. Jee kwa kipindi chote hicho waislamu unapofika wakati wa uchaguzi huunga mkono chama gani cha siasa kama si CCM?
Kwa nini kina Sheikh Khalifa na kina Mohamed Said huwa siwasikii wakisema chama kinachosababisha wao wabaguliwe ni CCM kwa kuiga tabia ile ile ya TANU badala yake wanazungumza kiujumla kwamba wanabaguliwa? Kama Serikaili ndiyo inawabagua waislamu na kuwapendelea wakristo hiyo serikali inatokana na chama gani cha siasa kama si hapo awali na TANU na sasa CCM?
Hao wanaoleta Orodha ndeefu za wasomi wa kiislamu ili wateuliwe na Magufuli mwaka jana walikiunga mkono chama gani kama si CCM? Sheikh Khalifa anasema kuwa wao walimuunga mkono Magufuli kwa kuwa hakuchangiwa na wafanyabiashara kwenda Ikulu. Hilo analisema kama ni ukweli anaousimamia ama kama ni Kada wa CCM kushabikia kauli ya Mwenyekiti wake Taifa kwamba hakuchangiwa na wafanyabiashara?
Waislamu wa nchi hii wakiongozwa na kina Sheikh Khalifa na BAKWATA kosa lao kubwa ni kuiamini CCM ambayo ikiunda serikali na wao huja kulalamika kwamba inawabagua kwenye kila nyanja ya maisha. Kosa ni lao wala si la CCM!
Waislamu wanalalmika kuwa serikali inawabagua, na hata ile orodha ya wale waislamu wasomi, Sheikh Khalifa hakuitoa ili Mbowe aitumie bali ili Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM taifa aitumie. Na kwako wewe Mwalimu Salum na Profesa Safari ni wakristo. Halafu Mbona CUF viongozi wake wengi ni waislamu na wala hamuiungi mkono?Chadema hamna kiongozi yoyote wa juu muislam
Kwani kila aliye dai uhuru alifaidi matunda ya kudai uhuru? kuna watu chungu nzima tulianza kudai vyama vingi kwasababu tulijua faida ya vyama vingi ingawa sisi siyo wana siasa.Kwani wakienda huko serikalini hao waislamu wanaenda kuuendeleza uislamu au kufanya kazi ya nchi?
Awamu iliyopita alikuwa mkuu wa nchi mwenye imani ya kiislamu vipi hao waislamu walipata ulaji huko serikalini?
Hao wanaipigia debe hao waislamu wenzao wapate dili huko serikalini watakuwa wana masilahi binafsi tu.
Sioni sababu ya wao kupiga kelele wakati uhuru wa kuabudu upo pale pale mengine wayaache yapite kwa serikali hii ilivyo sikivu watakuja kupewa onyo sasa hivi na ile wizara ya kufungia magazeti kwa kuitwa wachochezi.
Ndugu yangu haya si mambo ya udini bali ni mambo halisi. Waislamu kila mahala iwe ni kwenye makongamano, kweye Hutuba za misikitini, kwenye mihadhara na hata kwenye vijiwe mitaani, wanalalamika wanabaguliwa na "mfumo Kristu" sasa kwa mtazamo wangu huo mfumo Kristu unalelewa na CCM na CCM ndiyo chama kinachoungwa mkono kwa wingi na waislamu. Sasa kuna haja ya kulalamika kwa matendo ya chama unachokipenda na kukichagua kwenye kila uchaguzi?bila kwenye siasa na kwenye kuendesha serikali. Nalisema kwa wote wanaongoza na sisi wananchi tunaoongozwa.
TUWEKE DINI ZETU PEMBENI.
Hapana ndugu yangu, hapa tunachojaribu kufanya ni kutenganisha kati ya wana CCM ambao hujitwika jukumu la "kuwawakilisha" Waislamu na kuwatumia kwa manufaa yao wakati wa Uchaguzi na kugeuka kuwatumia tena CCM inapokuwa madarakani, na waislamu wanaousimamia Uislamu.nilishawapuza waisilamu siku nyingi
washajua kuwa wanatumiwa bado wanakubali kutumika sasa hapo nani mwerevu?Hapana ndugu yangu, hapa tunachojaribu kufanya ni kutenganisha kati ya wana CCM ambao hujitwika jukumu la "kuwawakilisha" Waislamu na kuwatumia kwa manufaa yao wakati wa Uchaguzi na kugeuka kuwatumia tena CCM inapokuwa madarakani, na waislamu wanaousimamia Uislamu.
wenye makalio makubwa na macho km vikombeHawa jamaa wanachezewa na ccm kila uchaguzi ukifika. Mara utasikia mahakama ya kadhi. Nasikia wengine wakipewa pilau tu wanalainika........
Waislamu wanajua mambo mawili tu
1. Yesu sio Mungu
2. Wanategemea kugawiwa mabikra baada ya kifo
Tatizo siyo waislamu kama waumini bali wale wanaojifanya kuzungumza kwa niaba ya waislamu. Wakati wa Uchaguzi utaona mpaka wanajiapia wakisema CCM ndiyo chama kinachojali waislamu, uchaguzi ukiisha tu wanaanzisha "mihadhara" na mpaka kusoma "Itkaf" kulaani waislamu kubaguliwa na serikali iliyoundwa na chama kile kile walichokipigia chapuo wakati wa uchaguzi!washajua kuwa wanatumiwa bado wanakubali kutumika sasa hapo nani mwerevu?
waache unafiki ndio nitawaunga mkono
Siasa hizi bana,Hivi sasa kuna fukuto kubwa miongoni mwa Waislamu kila unapofanywa uteuzi ndani ya Serikali wao huangalia kama kuna muislamu yeyote ameteuliwa. Mara nyingi huambulia patupu. Kwenye vyombo vya habari kama Gazeti la "Mizani" humo kina Sheikh Khalifa kwa juhudi kubwa kabisa hadi wamefikia kuchapisha majina ya waislamu ambao wanadhani wana sifa ya kuteuliwa kwenye teuzi zinazofanywa lakini hawateuliwi.
Mimi si muumini wa siasa au maisha kwa kuangalia vigezo vya dini ya mtu, lakini kama ipo dhana ya dini au kundi fulani la watu katika jamii linaona kama linabaguliwa ni vema jambo lenyewe likafanyiwa kazi. Ni kweli kwamba waislamu wanabaguliwa kwenye nchi hii na chanzo cha kubaguliwa kwao ni nini na anayewabagua ni nani?
CCM ni zao la TANU na ASP, kwa maana nyingine vyama hivyo viwili ndiyo asili ya CCM. Hapa hatuwezi kuijadili ASP kwa kuwa kwa muktadha wa mada hii yenyewe moja kwa moja haifai kujadiliwa. Mara baada ya Uhuru kulikuwa na vyama vingi vya siasa mpaka pale vilipopigwa Marufuku na TANU mwaka 1965. Jee waislamu waliunga mkono chama gani kati ya TANU na hivyo vingine?
Miaka 27 baadaye mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa hapa nchini na CCM iliyozaliwa kwa kuunganisha vyama vya ASP na TANU, nayo ikajivika uhai kabla haijazaliwa kisheria. Tangu hapo hadi sasa nchi yetu imekuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa. Jee kwa kipindi chote hicho waislamu unapofika wakati wa uchaguzi huunga mkono chama gani cha siasa kama si CCM?
Kwa nini kina Sheikh Khalifa na kina Mohamed Said huwa siwasikii wakisema chama kinachosababisha wao wabaguliwe ni CCM kwa kuiga tabia ile ile ya TANU badala yake wanazungumza kiujumla kwamba wanabaguliwa? Kama Serikaili ndiyo inawabagua waislamu na kuwapendelea wakristo hiyo serikali inatokana na chama gani cha siasa kama si hapo awali na TANU na sasa CCM?
Hao wanaoleta Orodha ndeefu za wasomi wa kiislamu ili wateuliwe na Magufuli mwaka jana walikiunga mkono chama gani kama si CCM? Sheikh Khalifa anasema kuwa wao walimuunga mkono Magufuli kwa kuwa hakuchangiwa na wafanyabiashara kwenda Ikulu. Hilo analisema kama ni ukweli anaousimamia ama kama ni Kada wa CCM kushabikia kauli ya Mwenyekiti wake Taifa kwamba hakuchangiwa na wafanyabiashara?
Waislamu wa nchi hii wakiongozwa na kina Sheikh Khalifa na BAKWATA kosa lao kubwa ni kuiamini CCM ambayo mwisho wa siku ikiunda serikali, wao huja kulalamika kwamba inawabagua kwenye kila nyanja ya maisha. Kosa ni lao wala si la CCM!