Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,432
- 6,515
Majeshi ya Israel jana yalifanikiwa kuwaua magaidi wa Hamas 15 kwa mpigo baada ya kuwashambulia maficho yao huko Gaza. Kwa taarifa zilizotolewa na IDF magaidi hao walikuwa wanajiandaa kuyashambulia majeshi ya Israel yanayoendelea kuso ha mbele bila upinzani huko Gaza.
Magaidi hao Wamekosa muelekeo baada ya majeshi ya Israel kuichukua Rafah na vitongoji vyake na kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyoko chini ya Ardhi hivyo kuwafanya wakome sehemu nyingine ya kukimbilia.