Wanachama wa CCM ni Goigoi, wanachekelea kwa Kofia na kanga

Wanachama wa CCM ni Goigoi, wanachekelea kwa Kofia na kanga

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Kama wewe ni Mwanachama wa CCM jua wewe ni goigoi. Size yenu ni Wali, chumvi, Baiskeli, pikipiki tshirt kanga na Bango.

Leo tulikuwa buhongwa watu wanapigana wapate pango la CCM.

Mtu unagombana na mwenzio kisa bango? Kama si ugoigoi ni nini? Si ukaprintt bango lako kama kweli unamapenzi na chama?

Wapiga Kura wa CCM wananuka umasikini

Video na makitaba. CCM wakigombea ubwabwa. Kupiga kura tu hadi upewe nguo na chumvi. Kama hutaki si uache? Utawaliwe miaka mitano kisa ulibebwa kwenye lori ukaenda kula ubwabwa.. Ubwabwa wenyewe matoonge matatu tu umeshiba🤣🤣. Kesho wanao watakula nini?
 
Vp wald wanaovaa mabango ya picha za lisu na heche vifuani kama vitambulisho wao ni gai gai?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom