Wanachama, mashabiki na makada wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama, mashabiki na makada wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taifa_Kwanza, May 10, 2011.

 1. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NI watu wenye profile hii
  1. Ni wazee na vikongwe kiumri, hakuna lolote waliloacha mbele yao zaidi ya familia zilizokata tamaa,
  familia zisizo na matumaini ya kupiga hatua yoyote mbele ya kimaisha, wao na familia zao
  huona bora hali ibaki hivi hivi ilivyo au iwe mbaya zaidi ili wote wafe katika hali hizo hizo walizo nazo.

  Kutokana na kukosa matumaini ya maisha, hawako tayari kuona mabadiriko yoyote yakitokea sababu
  wanaamini kwamba hayatawanufaisha kwa namna yoyote ile sababu hawana vigezo vya kuwawezesha
  kutap, kutumia, kufaudu na kufarahia fursa za kimaisha zinazoambatana na uongozi bora katika Taifa
  Letu.

  wengi wao, wanaishi vijijini ila hawana mashamba wala mifugo, ni wachawi na walozi, waganga
  wa kienyeji, walio mijini ndio wale wenye majumba makuu kuu mitaa kama ya Magomeni, Sinza,
  Kinondoni, Rufiji na Uhuru Mwanza, ni Mateja, Baadhi ya Makondacta wa dala dala, elimu ni form zero.
  Matax Driver, Madalali na Matapeli

  Hawa hawako tayari kuona mabadiliko yoyote yanatokea katika Taifa letu na ni wengi sana, Mapenzi
  yao hayo hawawezi kuyatetea kwa hoja za namna yoyote lakini uonyesha nguvu zao kwenye sanduku
  la kura.

  Naomba CHADEMA iandae mkakati wa kuwakomboa watu hawa kifikra. Ama sivyo wataendelea
  kuwadisappoint Watanzania wenye KIU ya Mabadiliko.

  Hawa ndio Mtaji wa Chama cha Magamba anaowasema Jakaya kila kukicha
   
Loading...