Kama ni kweli sawa tu.Halafu wamefanya kikao na Fred Lowassa,wangekuwa wametokea kanda flani hao ingekuwa shida humu.Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa
Kama ni kweli sawa tu.Halafu wamefanya kikao na Fred Lowassa,wangekuwa wametokea kanda flani hao ingekuwa shida humu.
Una uhakika tumewai kaa na huyo Fred Lowassa?Kama ni kweli sawa tu.Halafu wamefanya kikao na Fred Lowassa,wangekuwa wametokea kanda flani hao ingekuwa shida humu.
Yaani ukiwa Mtanzania huruhusiwi kujumukuika na mtu wa itikadi tofauti?
Mbona huko Vunjo Mrema anakaa na CHADEMA na CCM kwenye shughuli mbalimbl;i?
Mbona Mtei Mkwe wake ni Diwani wa Viti maalum wa TLP?
Ni kweli wangetikea kanda ya Kaskazini wangeelimika na kushirikiana
Siasa sio chuki
Siasa sio Udini
Una uhakika tumewai kaa na huyo Fred Lowassa?