WanaCHADEMA tulieni Ushindi umekaribia!!!


Kamanda tupo pamoja.
 
mkombozi wa kuteka na kupanga ugaidi kama al shabab

Mmeshawakabidhi kwa polisi wale wanaong'oa wenzao kucha na macho pasipo kutumia ganzi? Na wale wanaorushia wenzao vitu vyenye ncha kali? Ama kweli safari hii mmeamua kuruka sarakasi na TAULO sebuleni.
 
Mmeshawakabidhi kwa polisi wale wanaong'oa wenzao kucha na macho pasipo kutumia ganzi? Na wale wanaorushia wenzao vitu vyenye ncha kali? Ama kweli safari hii mmeamua kuruka sarakasi na TAULO sebuleni.

Wanazidi kudharirika
 

Very funny !!!

Mtu afanye ugaidi halafu muandamane eti aachiwe au mlikuwa nae?
 
mfa maji haishi kutapatapa,watanzania tumeshagundua hila na njama zenu-RIP CDM aka WATESAJI NA WATEKAJI.
 
Very funny !!!

Mtu afanye ugaidi halafu muandamane eti aachiwe au mlikuwa nae?
Mkuu, hilo siyo swali.

Mpango wao umegunduliwa na kwa sasa kilichobaki ni kutapa tapa. Mara wanasema hawana IMANI na jeshi la polisi, mara hawana IMANI na DPP na mahakama, halafu cha kushangaza zaidi, wanataka tena mahakama iwafanyie kazi ya kulisafisha JASUSI Lwakatare na chama kwa ujumla.

Katika CHADEMA, Siasa zao zinachagizwa na matukio. Bila kuandamana, siasa haijakamilika.
 
Uhuru wa kweli umekaribia ni mtanzania mpumbuv ndio unayeweza kumuada kwa kumuambia chadema ni chama cha magaidi akahadaika ilìhal anaona na kusikia matukio yote ya unyama yanayofanya na CCM pamoja serikal yake kama kumteka dr.ulimboka,kam kumuua mwangosi na kuwauwa watanzania wanaokufa kwa kukosa huduma bora za afya, kama kuwatesa wtz wanaofel kutokana na elim mbovu inayotolewa na serikal hi ya CCM Na kututesa watanzania tunaopenda habar za uchambuz wa kina kwa kulifungia gazet la mwanahalis...! xo haya yanatosha kuitoa CCM madarakan ifikapo 2015.
 
Tatizo la chadema siku zote ni kuendesha siasa za kitoto na hamko strategic kabisa..Sasa hao vijana wa kwenda kila wizara mnawatuma kama waajiriwa au kwenda kuiba siri za serikali ili ziletwe chamani na kutoa siri hizo kwa umma kupitia viongozi wenu..Kama mchezo wenyewe ndo huu mnawafundisha nini wapinzani wenu wa kiasiasa mkichukua nao waende kila ofisi ili kuiba nyaraka za serikali ili iweje na kwa manufaa ya nani..Mwisho nakumbuka ile mada yako kuwa Katika siasa za kenya nyie chadema mko na Odinga na ukalazimisha Kenyatta ni kama CCM,,,HEBU TUPE MATOKEO Yercko Nyerere ni nani alishinda kati ya Odinga wa CDM na Kenyatta wa CCM..kuwenu makini sana na aina ya siasa mnazozifanya.
 
Nice partisan piece! Dr. Slaa kawaambia usalama wao umegawanyika na yule mzee(Wassira) nikamwona pale ITV dk 45 anafanya ngonjera tu. Huo ni ukweli. Si watu wote walio usalama wanakubaliana na mambo ya kishenzi yanayoendelea leo hii. Wakina Generali Kombe wapo. Na kile kichapo cha 2010 cha urais kamwe CCM hawawezi kukisahau. Kimewapa kizunguzungu hadi leo. Na wanazidi kujiumbua. Mfano mzuri ni pale huyu Wassira aliposema watahakikisha kuwa wanaisambaratisha chadema ndani ya 2013. Na sio kuisambaratisha kwa maana ya kushindana kwa sera na utendaji bali ni kwa kutumia mbinu chafu,na siasa za vyooni, Hii ni kauli ya kilevi sana-ati toka kwa Waziri wa Mahusiano na Jamii. Please give me a break
 

Ccm mnakazi kwelikweli wa Tanzania si wajinga tena tunajua nani anaetesa wa Tanzania
 

ametoa ushauri kwa cdm. hebu soma tena mkuu.
 
Siasa mchezo mchafu kumbe chadema wanapanga mauaji kwa uchu wa madaraka!!!!,noma sana , wajanja tulihisi,hii kesi ikianzwa kuongelewa watu watadhalilika sana,cha kweli chakeli tu.
 
salute kwako mkuu.... kinachowapata ccm ni kitu ambacho ni ukweli na ndio uhalisia lakini ni ngumu sana kukubali, wanajua umefika wakati wao kufa lakini kukubali na kuandaa kifo chema hawataki wanajaribu kupingana na ukweli. shame on them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…