Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Hapa umemaanisha nini mkuu?Wabongo kwa kutoa hisia mtandaoni mmeshinda, mtu akisoma anaweza kukimbia nchi. Lakini ikifika kwenye matendo sasa hapo ndio mnanifurahisha.hizi ni kelele za JF, hamna uwezo wa kufanya lolote hata mkiibiwa kura. CCM itawatawala milele na mtaendelea kulialia humu jf milele, mkizeeka watakuja watoto wenu na kuendeleza kulialia. Hii ndio hulka ya cdm.
sisiem hawajui siku zao za kukaa magogoni mwisho ni 2015
Soma vizuri maandiko yangu hapo juu nilivyoanza na kumaliza,Yericko Nyerere anasema hivi..."Huu ni wakati mwafaka kwa wanachadema kutulia na kuonyesha mshikamano wetu, propaganda za ccm zisitunyime usingizi kwakuwa nasi ni wataamu wa propaganda tena za kisasa. Tujipange na kisha tuwakabili kwa propaganda murua na za kisomi bila kuvunja katiba ya nchi wala sheria za nchi.
Chadema iandae vijana wasomi wazuri kisha iwapeleke kwenye wizara zote nchini, wanaweza kupeleka kila wizara vijana 5 tu, hao kazi yao kuu iwe kufichua maovu na matatizo yaliyokwenye wizara hizo, vilevile waweze kupendekeza nini chakufanya ili kuondoa matatizo hayo.
MFAN0: Timu ya vijana hao iyafichue matatizo yaliyo kwenye Elimu, Uchumi, Afya, Ulinzi, Maji,Chakula, Nishati, Miundombinu na kisha viongozi wa Kitaifa waende katika majukwaa ya kiisiasa na waatangazie wananchi hali ya sekta hizo nchini na hatua za haraka za kuchukua. Tukifanya hayo ninaamini ndani ya siku 60 tu CCM itaangushwa na umma wa Watanzania"
*********************************************************************************
kwenye red: kumbe ninyi na CCM mnashindana propaganda? duh nilidhan mpo busy kufikiria njia za kujenga nchi? so propaganda zipi mlisha wafanyia CCM so far,zinalingana na hii waliyo wafanyia kwa Lwakatare na Kibanda? nimestuka sana.
kwenye blue:CDM bana,yaan yawezekana wewe ndo chief strategist wa chama, umekuja hapa JF kupanga mipango...duh? ndo maana wanawazidi kila siku....! why shudn't you conceal your intentions? so by pre emptying like this unafikiri utawashinda ndani ya siku hizo 60? kama chama ndo kina watu wa dizaini hii.. a long way to go,and even impossible,other wise ziwe rhetorics tu.
asante.
soma vizuri maandiko yangu hapo juu nilivyoanza na kumaliza,
siasa nimchezo mzuri sana hasa ukijua kuucheza, lakini kwa watwana ni ghadhabu.
Veve bana bongo ako anyooka thawa veve???Haramia hatari kwako na taifa lako ni yupi kati ya wapora raslimali za taifa na warusha thread hapa jf????Pls,pls!!!DON'T PULL OUR NATION DOWN.Kwa kuwa kitengo iko hakina nia njema kinaendeshwa kwa siri.Lakini mungu mkubwa hawa maharamia wa nchi kavu watajulikana tu.
nimekuelewa mjuvi.
Msamehe hajui atendalo, anahitaji msaada waukombozi kifikra.Veve bana bongo ako anyooka thawa veve???Haramia hatari kwako na taifa lako ni yupi kati ya wapora raslimali za taifa na warusha thread hapa jf????Pls,pls!!!DON'T PULL OUR NATION DOWN.
Tunataka ukombozi wa jamhuri yote ya Tanzania, hakuna kipande cha ardhi kitakachojitenga kudai uhuru,Yeriko, napendekeza m4C ianze kampeni mkoani Kagera KWAMBA LWAKATARE ASIPOACHIWA HURU NDANI YA SIKU 7 MKOA WA KAGERA UTAJITENGA NA KUJITANGAZA JAMHURI HURU.
Na hivyo hivyo kwa mkoa wa mtwara - kama serikali inafanya ushenzi huu basi wananchi wajitangazie jamhuri huru.
Najua fika kuwa mashushu wa magamba wangewajua wengine wetu humu wangetu- Ulimboka au ktu- Kibanda lakini kama Mungu alivyokuwa pamoja na Ulimboka pamoja na Kibanda ndivyo alivyo pamoja nasi. Walidhani wamammaliza Ulimboka na Kibanda lakini Mwenyezi Mungu mkubwa. Hatutanyamaza. Tutaendelea kuhamasisha umma hadi ukombozi halisi ufike!Kwa kuwa kitengo iko hakina nia njema kinaendeshwa kwa siri.Lakini mungu mkubwa hawa maharamia wa nchi kavu watajulikana tu.
Yes, hii ndiyo tofauti kubwa na inayowapa matumaini watanzania kuwa Chadema ndio mkombozi wao pekee.
Waumini wenu wasishangae wakijikuta kuwa Kama waumini wa KibwetereYes, hii ndiyo tofauti kubwa na inayowapa matumaini watanzania kuwa Chadema ndio mkombozi wao pekee.
Waumini wenu wasishangae wakijikuta kuwa Kama waumini wa Kibwetere