WanaCCM wanaompinga Magufuli siwaelewi

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,267
Reaction score
14,275
Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka kupata manyadhifa makubwa zinaitesa CCM.


Mbunge yeyote aliye na elimu nzuri ndani ya CCM anakosoa kwa akili haropoki wala hapigi kelele anajua kile Magufuli anafanya ni mtaji wa mbele.

Jambo hawa wanaopiga kelele wanafanya ni as if CCM ni ya kwao ama ni ya Magufuli kumbe wote ni waajiriwa wa chama na baada ya kipindi fulani watapumzishwa.

Hoja wanaCCM wanapaswa kuipigia makofi ni hoja ya kukilinda chama na kukitengeneza kiende mbele othewise wanachofanya akina Bashe na kundi lake ni bora wahamie CHADEMA wala wasitusumbue na vidata vyao vya kizushi..

CCM oyee...
 
Wenye elimu nzuri ndiyo waliolifikisha taifa hapa tulipo kwakusaini mikataba bila kutumia logic.Pia ndiyo wasiokosowa wala kushauri mambo kiyakinifu,bali huangalia matumbo yao tu.
 
 
Kumbe issue kwenu ni ccm na sio Tanzania,basi wewe na ccm yako ndio zero brain
 


Unataka wote wafuate UZWAZWA wako wa kupigia makofi upuuzi uliokithiri ndani ya hii Serikali ya waongo.

 
Mtoa mada ndiyo umethibitisha kuwa wewe ZWAZWA,kinana aliyewatafutia kura mpaka munavimba kichwa alienda kwa staili ya kuikosia CCM na watendaji wa serikali yake ili kurudisha mioyo ya umma iliyovunjika.
Tambua CCM ina utamaduni wa kujikosoa ila miaka hii imekwaa kisiki tu,mbona kinana na Nape hawakulaumiwa?
Kaa kimya ZWAZWA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…