Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka kupata manyadhifa makubwa zinaitesa CCM.
Mbunge yeyote aliye na elimu nzuri ndani ya CCM anakosoa kwa akili haropoki wala hapigi kelele anajua kile Magufuli anafanya ni mtaji wa mbele.
Jambo hawa wanaopiga kelele wanafanya ni as if CCM ni ya kwao ama ni ya Magufuli kumbe wote ni waajiriwa wa chama na baada ya kipindi fulani watapumzishwa.
Hoja wanaCCM wanapaswa kuipigia makofi ni hoja ya kukilinda chama na kukitengeneza kiende mbele othewise wanachofanya akina Bashe na kundi lake ni bora wahamie CHADEMA wala wasitusumbue na vidata vyao vya kizushi..
CCM oyee...