Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Sisi wanachama tumeshtushwa sana na hiki kinacho itwa kubadili katiba.
1. Tunaomba kujua sababu za msingi, hatutaki kusikia kubana matumizi maana tunajua fedha za chama zinavyo tumika kwa mambo ya ovyo.
2. Tunaomba mtuhakikishie kama huu sio mpango wa MTU kujimilikishia ugombea Urais 2020.
Hata mgawe pesa kiasi gani, hatuta kubali, tunajua mtalazimisha kupitisha jambo hili lakini mwisho wake ni aibu, wana ccm sio kwamba hatuna akili na hatuwezi kuendeshwa na tamaa za mtu mmoja wala hatuwezi kumpa MTU nafasi ya kumiliki chama chetu jambo kinapoteza mvuto lakini sio kwa uhalifu huu.
Tuonane Dodoma.