Wanaboa sana hawa

Hahahahaaaa Viol you made my nite
 
Last edited by a moderator:
ilinitokea moja kama hiyo,halafu yeye ndo alikuwa anaanza kuchat,kuna kipindi inafika hata sina ham ya kuchat.
Akiniuliza mbona unanichunia,namwambia tu huwa sikuelewi unacho-chat.
amcwt ndio nini?
 
Asante Viol yaani umenifanya nifurahi kuna vitu vina kera
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni kero, nikishagundua ananichanganyia madesa najitoa mdogo mdogo
 
Manina yani naweza kukupa hata mabanzi... uni chatie ujinga wa hivi! Sasa kuna hawa ndio kabisa naweza hata kukutukana tusi la nguoni.. na hasa hasa mademu ndio wana jifanya kama classic manina kumbe ujinga mtupu.. kidume ume jipinda una m txt mchepuko.. mi nawa ita mchepuko tu.. una komaa una mtxt sms nzuri ya good night tena ndefu. Kidume ume umiza kichwa kutafuta maneno kuntu kuntu yatakayo mpa raha una click send message, inaenda una pata notification message delivered. Unasubiria jibu sasa na wewe.. bora sasa ata feedback inge chukua dakika 1 ..demu ana chukua dakika 20 nzima au nusu saa unakuta inbox notification una fungua una kutana na jibu lake sasa kaku jibu ''K''. Unajua hasira yaku jibiwa K? Uta fyonza sana hapo kitandani naku tukana sana zile "k* mamake zake " yani sms ndefu ile ana nijibu K!!!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…