WanaArusha mtaendelea kufa mkiwa vijana, hii ndio sababu

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Bila kutubu hii dhambi bado Arusha utabaki kuwa mji hatari zaidi kuishi katika Tanzania.

Kama unaenda kutafuta hela Arusha nenda ukiwa na roho mkononi.

Dhambi yenyewe ni hii: Makampuni mengi kama sio yote hapa Atusha ni dhuluma kutoka kwa wazungu. Yaani waarusha
wanaanzisha mapenzi/mahusiano na wszungu hata kwa uganga ili wawashawishi kuanzisha kampuni/NGO kwa mtaji wa mzungu halafu mwisho wa siku anamtupilia mbali kwa nguvu ya rushwa kwa polisi ili wamfungulie kesi akileta ubishi.

That means cheni ya laana inawala kuanzia maCEO hadi vibarua kwasababu nyuma ya mtaji kuna damu/chozi la mdhurumiwa.

Mtaendelea kufa kwasababu ni marufuku kufika uzee kwa utajiri wa dhuruma unless umeagana na shetani au mungu. Na huwezi kuagana na mungu au shetani kama utautumia utajiri wako kujipa raha, hivyo msiwe mnashangaa kuwasikia wanaonyofolewa roho wakiwa kwenye viuno.

Ova.
 
Leo umevurugwa na watu wa Arusha Preta hebu njoo huku jamaa mmemfanyaje
 
Last edited by a moderator:
Leo watu wa Arusha mtakoma na utalii wenu.hebu lipeni deni la huyu jamaa awaache
 
Wenyewe wanaitana Chaliiii.
Hawawezi kujirekebisha ingawa ukweli ndo huo
 
Mtoa mada nakubaliana na wewe. Arusha huwa nafika mara kadhaa kwa mwaka na huwa kuna jamaa zangu kule. Mkiwa mnabadilisha mawazo hasa ya kujiendeleza kimaisha asilimia nyingi huwa wanawaza wazungu wakuanzisha nao kampuni halafu yeye awe na cheo fulani hapo ila mwishowe hakwambii atabaki kusifia tu kwamba inafaida sana.
 
Mkuu umerushwa kwa ufala wako! Sema ukweli tukutafutie nauli ya kurudi kwa maduanzi. Arusha haina nafasi kwa duanzi kama wewe . Naona uliingia kichwa kichwa ukalizwa. Mji wa wajanja. Move in at your own risk . Survival for the fittest. Duanzi languu rudi kajipange upya. Labda jamaa alikuja Arusha kutafuta kazi wakamuingiza mjini. Nimesoma post yake moja anatafuta kazi lakini mshahara anaoanza nao ni laki 3.Duanzi amechanganyikiwa laki 3 na hana ujanja mwingine Arusha hazitoshi na anaona machalii wanatumbua. Mwisho lazima ateme nyongo. Inauma ati.
 
Hali hii si kwa wanaarusha wote... NImeishi arusha miaka kadhaa

Ila sasa, kuna elements za ukweli kwenye tabia ya vijana wa arusha wenye kipato kiasi, wamekua too greedy and they are willing to do anything for money, wanasheria wa arusha ni warushi and the are really inflating their services. Viajana wa tours nao kidogo kuna group limeamua kubinua maadili... na ule unywanywa wa vijana wa mitaa ya kati unatisha

it is a small group ya "the so called elites-wannabes" inayoharibu Arusha
 
Mtoa mada nakubaliana na wewe. Arusha huwa nafika mara kadhaa kwa mwaka na huwa kuna jamaa zangu kule. Mkiwa mnabadilisha mawazo hasa ya kujiendeleza kimaisha asilimia nyingi huwa wanawaza wazungu wakuanzisha nao kampuni halafu yeye awe na cheo fulani hapo ila mwishowe hakwambii atabaki kusifia tu kwamba inafaida sana.
Hii imebalance vizuri sana!! kipindi kile mababu zao walivyoanzisha madili na mababu zetu kisha wakawadhulumu na kuwanyonga na kuwageuza vibarua au watumwa na kisha faida wakawapelekea wake zao na watoto na wajukuu zao sasa naona ile laana imeanza kuwatafuna na hao wazungu! Ukiona Mzungu hajadhulumiwa ujue na yeye kizazi chake hakikumdhulumu muafrika miaka ile! malipo ni hapa hapa tuuu!!
 
Ni kweli. What goes around comes around japo kinakuja nusu
 
We chalii acha undezi umekuja Chuga kiboya umetapeliwa kaa kimya sio unalaumu Arusha yote.

Acha maraia wapige mishe na watasha wewe inakusumbua nini breddah?

Do your thang man...Au rudi kwenu kwa mandezi.
 
Bila kutubu hii dhambi bado Arusha utabaki kuwa mji hatari zaidi kuishi katika Tanzania.

Kama unaenda kutafuta hela Arusha nenda ukiwa na roho mkononi.

Dhambi yenyewe ni hii: Makampuni mengi kama sio yote hapa Atusha ni dhuluma kutoka kwa wazungu. Yaani waarusha
wanaanzisha mapenzi/mahusiano na wszungu hata kwa uganga ili wawashawishi kuanzisha kampuni/NGO kwa mtaji wa mzungu halafu mwisho wa siku anamtupilia mbali kwa nguvu ya rushwa kwa polisi ili wamfungulie kesi akileta ubishi.

That means cheni ya laana inawala kuanzia maCEO hadi vibarua kwasababu nyuma ya mtaji kuna damu/chozi la mdhurumiwa.

Mtaendelea kufa kwasababu ni marufuku kufika uzee kwa utajiri wa dhuruma unless umeagana na shetani au mungu. Na huwezi kuagana na mungu au shetani kama utautumia utajiri wako kujipa raha, hivyo msiwe mnashangaa kuwasikia wanaonyofolewa roho wakiwa kwenye viuno.

Ova.

Hata Biblia inasema kila mtu atavuna alichopanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom