Mujini kuna mengi tusiyoyajua.
Nimeiskia kwa watu kama watatu sasa. Mdada anakuwa na boyfriend na anakuwa na mchumba. Sasa ikiwa bado kama wiki moja akafunge ndoa anaenda kwa boyfriend eti kupiga mechi ya kuagana. Je wanaagana kweli au wanaahilisha tu then wataendaelea?
Mie nadhani Katika hali ya kawaida mara baada ya mchumba kujitambulisha kwao basi angempiga chini boyfriend kwani sasa anauhakika wa kuolewa.
Wadau mnasemaje?