Huu ni ukorofi sasa ๐๐ lakini sio mbaya, unakuwaje mnyonge street na kidigitaliUsiwasahau na wale wanao check-in huku wanatupa taarifa! Cha ajabu wanareply huku wako angani na bado wanaiba picha za watu wenye pesa kwenye magari wanakuja kuturusha roho makapuku๐
Wanakuwa wamechanganya miandiko kama kawaida ya confused species lol ๐Unaziita dormant ID's ila zinatifuata PM kutulima beat daily kwa maneno ya tunavuunja viapo ,tunabaki kushangaa tuliapiana nini na wapi ?
Mara kimanzichana๐Hahahhaha View attachment 3585472
Wanatutesa kisaikolojia๐Huu ni ukorofi sasa ๐๐ lakini sio mbaya, unakuwaje mnyonge street na kidigitali
Ungeweka wale maafande wa mwenge wanaobebeshwa pistol za semi automatic na revolver alafu wanawekewa nembo mgongoni eti SWAT ila bongo nyoso kweli kweli .
Mkuu sitaki nizikwe bila kichwa๐๐๐ฟ๐๐ฟUngeweka wale maafande wa mwenge wanaobebeshwa pistol za semi automatic na revolver alafu wanawekewa nembo mgongoni eti SWAT ila bongo nyoso kweli kweli .
Muhifadhi mkuu wa silaha makao ,Mungu anamuona aisee
Wewe sio rahisi kaka hata kiunoni ipo .Mkuu sitaki nizikwe bila kichwa๐๐๐ฟ๐๐ฟ
Usiteseke, wanatupa hasira za kutafuta pesa ๐Wanatutesa kisaikolojia๐
Usiteseke, wanatupa hasira za kutafuta pesa ๐
"Naweza kukulisha wewe, vifaranga vyako na ukoo wako mzima, mwaka mzima"
Au unaanzisha uzi
"Nimepata milioni 70 ila sijui biashara gani ya kuwekeza"
Hizi zote ni faida kwa wengi ๐
Dollars ๐๐พ๐๐พ
Umeamkaje binti ๐Usiwasahau na wale wanao check-in huku wanatupa taarifa! Cha ajabu wanareply huku wako angani na bado wanaiba picha za watu wenye pesa kwenye magari wanakuja kuturusha roho makapuku๐
Hii nayo ilikuwa miongoni mwa kazi za kwanza kuwa replaced na AI. mzee Mshana Jr riziki unapatia wapi siku hizi๐!
Mara nina meza ya madera kkoo ni mateso haki๐Usiteseke, wanatupa hasira za kutafuta pesa ๐
"Naweza kukulisha wewe, vifaranga vyako na ukoo wako mzima, mwaka mzima"
Au unaanzisha uzi
"Nimepata milioni 70 ila sijui biashara gani ya kuwekeza"
Hizi zote ni faida kwa wengi ๐
Nimeamka na bipolar ya buza๐คUmeamkaje binti ๐