Hakuna cha dharau hapo kama Alikiba aliamua kuja kwenye muziki anatakiwa awe tayari kulinganishwa na kupambnishwa na yeyote yule ambaye ana shiriki muziki! Kama hataki basi aachane na muziki!
Ukweli ni kwamba wimbo wa Alikiba a.k.a Mfalme Helode ni mbaya na ni mmoja wa wimbo mbovu sana toka kwa Alikiba hakika Alikiba anavunja moyo.....
Kama ukilinganisha Dodo na Wana kama utaangalia nyimbo tuu lazima ujue Wana ni wimbo mzuri kuzidi Dodo
Sent from my iPhone using Tapatalk