Wana Yanga tukaishangilie Al Masry

Wana Yanga tukaishangilie Al Masry

Waarabu hawa wanaotuona sisi weusi kama manyani? Siwapendi Ubaya Ubwela kwa moyo wangu wote lakini zimwi likujualo angalau haliwezi kukula likakumaliza!

Makolo piga hiyo miarabu tatu kwa nunge hiyo kesho kutwa!

IMG-20250406-WA0007.jpg
 
Namimi naahidi nitakuwepo kuwashangilia ndugu zetu katika mpira Al-Masry naahidi
 
Hata kama huipendi Simba, si busara kushangilia wageni, tena wageni wenyewe Waarabu wenye dharau kwa mtu mweusi.
 
Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.

Tukaishangilie Al Masry kesho
Njooni tuwapakate. Hatutaki kiherehere
 
Back
Top Bottom