dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani? Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati huo huo hawez kuwakata wale wazungu wake je unashaur nin kifanyike
Dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani?
Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati huo huo hawez kuwakata wale wazungu wake je unashaur nin kifanyike
yule dogo ni balaa sanaWafukuze scraper zote walizosajili mwaka huu na wakamchukue kwa garama yoyote yule kijana wa mali aliyewika kwenye mashindano ya kagame TRAORE atabadilisha soka la bongo
mbwa koko mkali kwao bhanaOKWI alikuwa na nafasi kubwa ya kubaki yanga lakini kajiondoa mwenyewe kwa utovu wa nidhamu, msimu uliopita hakucheza kwa kiwango chake na mechi zingine alikataa kabisa,sasa mchezaji kama huyu ana faida gani katika timu? ndo maana kampa nafasi kiiza