Wana wa UKONGA na MONDULI isomeni barua hii

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
BARUA YA WAZI KWA WANA WA UKONGA NA MONDULI

Na Kibona Dickson

(Mwanaharakati Huru)

Wana wa Ukonga na wana wa Monduli.
Mimi Mzalendo na Mtanzania mwenzenu.Ninawasalimu sana.

Ninawaandikia ninyi kwa sababu 2015 mlimshinda adui aliyeshindwa kutuletea maendelea kwa zaidi ya miaka 50 ya Uhuru.Adui huyu ni sisiem.Mwaka 1995,hayati MWALIMU Nyerere alimfananisha Kokoro linalovua kila kitu,hata vitu viovu.Taifa limejaa ukatili na uonevu mkubwa wa enzi za kikoloni kule Afrika ya kusini.

Hiyo ndiyo sisiem ambayo mliikataa 2015 kwa aibu katika Sanduku la kura,mkachagua chama mnachokipenda kwa kishindo.Chama chenye ghilba na ulaghai kilichojaa hadaa katika awamu ya tano kinajiita sisiem mpya.

Ni sisiem mpya yenye kutumia ulaghai,vitisho na mamilioni ya fedha kuhakikisha madiwani na wabunge wanajiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi.Chama cha SISIEM kinataka kulazimishwa kupendwa kwa ghilba na vitisho.

Wana wa Ukonga na Monduli;Niliwahi andika leo nitanukuu tena "Huu ni wendawazimu wa kisiasa kuachia dhamana uliyokabidhiwa wananchi ili kuunga mkono mtu mwingine aliyekabidhiwa dhamana na wananchi kama wewe" mwisho wa kunukuu.

Wana wa Ukonga na Minduli;Wana ccm na wana chadema na vyama vingine uunganeni kukataa aina hizi za siasa zinazojengeka katika taifa letu;siasa chafu zinazoshadidiwa na nguvu ya pesa na vitisho chini ya chama kinachoitwa SISIEM mpya.

SISIEM mpya inayotumia mabavu na hoja ya nguvu ili ikue na kwa njia ya kukataa ushindani wa kisiasa.SISIEM impya inayozidi kubebwa na Polisi.SISIEM mpya inayotaka kuendekeza siasa za ukiritimba na kuhodhi madaraka kwa njia za ulaghai,vitisho na mabavu.SISIEM mpya inayotumia ukosefu wa ajira kuangamiza vyama vya siasa.

Wana Ukonga na wana Monduli,uamuzi wenu usiojali itikadi za vyama uwe ni kukataa aina ya siasa ambazo chama kinaitwa SISIEM mpya kinajaribu kuzileta katika taifa letu.

Mtu aliyepewa dhamana kisha akajiuzulu mwenye,Msimpe tena ridhaa aliyoikataa kwa kujiuzulu.

Ninamaanisha,Julius Kalanga na Mwita waitara waaibishwe na SISIEM.Ninyi wana Ukonga na Monduli,mna uwezo wa kufanya hayo mkipiga kura na kuzilinda.

Hakuna CCM mpya.Ukweli CCM ni ileile ambayo hayati Nyerere alisema "ni kokoro"

DICKSON KIBONA.
Mwanaharakati Huru.

Kibonadickson@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndagha sebho
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
 
Kama wabunge wa chadema ktk majimbo hayo tuliwachagua kwa heshima zote na kuwapa dhamana wameamua kuhamia ccm, tuna uhakika gani kwamba hawa wanaogombea nafasi hiyo sasa hawatahamia ccm?
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
Lakini huyo ni mbunge siyo raisi. Mpaka sasa sielewi mbunge ni jukumu lake kuwasilisha matatizo ya wananchi wake bungeni bila kujali anatoka chama gani. Lakini ukiwa mbunge wa CCM una chance ya kuwa waziri lakini upinzani huna. Huyo Waitara nafikiri anachokitaka ni zaidi ya ubunge,kwa Kalanga sijui.
Maana imebaki miaka 2 si angevumilia mpaka mwakani akajiuzulu ili agombee akiwa chama tawala?
Mimi naona hao hawana uchungu na wananchi wao wanajali maslai yao binafsi hata ku pretend wameshindwa?
Kwani yule wa kinondoni kujibadilisha kutoka CUF kwenda CCM huko bungeni amelewa mabadiliko gani? Zaidi ametuletea msiba na maafa tu.
Ushauri wangu wabunge wote waliokunwa na utendaji wa Magufuli wa kupaisha uchumi wavumilie mpaka mwakani wamwambie mzee tumekunwa na utendaji wako huku hakutufai tunasikia kwako, hata hawa wananchi waliyoichagua hatuna mpango nao sisi tunskujali wewe tu.
Wanasahau hata huyo wanayemuunga mkono ambayo walishindwa kumuunga 2015 pia anaomba ridhaa ya wananchi.
Ifike mahali msiwafanye wananchi hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BARUA YA WAZI KWA WANA WA UKONGA NA MONDULI

Na Kibona Dickson

(Mwanaharakati Huru)

Wana wa Ukonga na wana wa Monduli.
Mimi Mzalendo na Mtanzania mwenzenu.Ninawasalimu sana.

Ninawaandikia ninyi kwa sababu 2015 mlimshinda adui aliyeshindwa kutuletea maendelea kwa zaidi ya miaka 50 ya Uhuru.Adui huyu ni sisiem.Mwaka 1995,hayati MWALIMU Nyerere alimfananisha Kokoro linalovua kila kitu,hata vitu viovu.Taifa limejaa ukatili na uonevu mkubwa wa enzi za kikoloni kule Afrika ya kusini.

Hiyo ndiyo sisiem ambayo mliikataa 2015 kwa aibu katika Sanduku la kura,mkachagua chama mnachokipenda kwa kishindo.Chama chenye ghilba na ulaghai kilichojaa hadaa katika awamu ya tano kinajiita sisiem mpya.

Ni sisiem mpya yenye kutumia ulaghai,vitisho na mamilioni ya fedha kuhakikisha madiwani na wabunge wanajiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi.Chama cha SISIEM kinataka kulazimishwa kupendwa kwa ghilba na vitisho.

Wana wa Ukonga na Monduli;Niliwahi andika leo nitanukuu tena "Huu ni wendawazimu wa kisiasa kuachia dhamana uliyokabidhiwa wananchi ili kuunga mkono mtu mwingine aliyekabidhiwa dhamana na wananchi kama wewe" mwisho wa kunukuu.

Wana wa Ukonga na Minduli;Wana ccm na wana chadema na vyama vingine uunganeni kukataa aina hizi za siasa zinazojengeka katika taifa letu;siasa chafu zinazoshadidiwa na nguvu ya pesa na vitisho chini ya chama kinachoitwa SISIEM mpya.

SISIEM mpya inayotumia mabavu na hoja ya nguvu ili ikue na kwa njia ya kukataa ushindani wa kisiasa.SISIEM impya inayozidi kubebwa na Polisi.SISIEM mpya inayotaka kuendekeza siasa za ukiritimba na kuhodhi madaraka kwa njia za ulaghai,vitisho na mabavu.SISIEM mpya inayotumia ukosefu wa ajira kuangamiza vyama vya siasa.

Wana Ukonga na wana Monduli,uamuzi wenu usiojali itikadi za vyama uwe ni kukataa aina ya siasa ambazo chama kinaitwa SISIEM mpya kinajaribu kuzileta katika taifa letu.

Mtu aliyepewa dhamana kisha akajiuzulu mwenye,Msimpe tena ridhaa aliyoikataa kwa kujiuzulu.

Ninamaanisha,Julius Kalanga na Mwita waitara waaibishwe na SISIEM.Ninyi wana Ukonga na Monduli,mna uwezo wa kufanya hayo mkipiga kura na kuzilinda.

Hakuna CCM mpya.Ukweli CCM ni ileile ambayo hayati Nyerere alisema "ni kokoro"

DICKSON KIBONA.
Mwanaharakati Huru.

Kibonadickson@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app

Hopeless ever !
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
Utakuwa umezolewa na kokoro? Hivi ni CCM ndio hupambana na upinzani au polisi na vyombo vya dola ndivyo hutumiwa kupambana na upinzani?
 
Unaweza kuwa sawa ila ni wanaukonga wangapi au wanamonduli wangapi wako Jf!!
Je ujumbe utawafikia kweli!!?
Fikiria kitu kinaitwa " effective communication "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
Kweli kabisa kwa sababu CCM wana backing ya vyombo vyote vya dola, polisi,mahakama, NEC kitu ambacho wapinzani hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
 
Siku hizi uongo Ni ukweli na ukweli ni uongo. ila fahamu kuwa wapo.
 
Mleta mada inawezekana kweli CCM ni ile ile kama usemavyo....Lakini bora ya CCM hii kuliko hao unaowapigia debe....
Tatizo hamtaki kukubali ya kuwa NCHI HII hakuna wapinzani wa kupambana kweli kweli na CCM....
Unataka tushike bunduki? Maana wao fisiem wanawatumia policefisiem kutukandamiza lakin ipo siku tutabwaga manyanga, hivi unajua kua tumechoka? Tunasubiri tu pakuanzia, time will tell.
 
Unaweza kuwa sawa ila ni wanaukonga wangapi au wanamonduli wangapi wako Jf!!
Je ujumbe utawafikia kweli!!?
Fikiria kitu kinaitwa " effective communication "

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia rahisi ya kupashsna habari magazeti, radio, mitanda. Mtu akipata ujumbe mara nyingi iwe Facebook au mtandao wowote ana u quote na ku u forward kwenye watsup. Usiwe na wasiwasi kwenye ma group ya watsup wengine hayuko Facebook wala instagram lakini habari za instagram tunazipata through ma group, ndiyo maana habari siku hizi zinaenea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom