Kr umemjua jana ww,Tafuta nyimbo za Gwm miaka ya mwanzoni 1990 (e.g cheza mbali na kasheshe),sikiliza wimbo wa Yamenikuta,tafuta album ya Soggy inaitwa Bongo Newyork kuna wimbo unaitwa "Taratibu kama Nyau",then malizia na Kamua,utamuelewa tu labda uwe umezaliwa miaka ya 90.