Wana UDSM,UDOM na vyuo vingine vyote nchini pitia hapa

Wana UDSM,UDOM na vyuo vingine vyote nchini pitia hapa

Udom college of health sciences(CHAS) Md1 students tupo class Sasa na teacher wa biochemistry toka bugando hajali 9 December ni mwendo mdundo saa 2~11 kwa wiki mbili hadi amalize topic yake #TibaPagumu

Sasa kk ulifkl udaktar ni kuokota taka
 
matokeo yakitoka muweke apa tujue mana kwa hal huenda gpa zkawa below
 
IFM mfumo wa ugawaji wa vitambulisho ni mbovu sana. Yaan wanaboa sana. Ishu ya kugawa ID mpya kwa walioregister ni simple sana ila wao wanacomplicate hadi kero.
 
Kusoma sio mchezo mkuu..waulize vijana wa Coet watakwambia mambo yakaje..science ni balaa.

kuna dogo mmoja yupo udom first year ila alikuwepo coet mechanical akaahirisha mwaka na akasubiri mwaka huu akaja udom software ila anasema hesabu za coet ni hatar sana
 
Vijana wa fist year huwa mna mbwembwe.haya bana tushajua mnapiga udaktari na wengne engineering,hongereni wasomi wetu,ila mkumbuke vyuon hakunaga cha siku kuu wala weekend.sisi hapo mliman tuliwahi kupiga test siku ya mwaka mpya.

kuwa na maneno mazuri mbuzi wee
 
Kipi chuo cha kata tz tafadhari msitukane nmektana na watu wanabishana
 
Back
Top Bottom