Wana UDSM,UDOM na vyuo vingine vyote nchini pitia hapa

Wana UDSM,UDOM na vyuo vingine vyote nchini pitia hapa

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,603
Reaction score
4,189
Tupeane changamoto za maisha ya vyuoni kwetu na jinsi ya kuzishinda kwa maendeleo yetu ya kitaaluma tuwapo vyuoni na maisha kwa ujumla.
 
hi ni moja ya mada nzuri Sana kwa Leo ila nakumbusha kutotumia x badala ya s mana watakuja wale wa "brn hiyo"
 
Miaka ile pale iaa arusha, wanafunzi walikuwa wanakabwa sana, hasa wadada! sjui siku hizi. Na miaka hiyo hiyo, udsm nako vibaka walikuwa wanasumbua.
 
udom vipindi hadi jumapili yaani shule ya informatics ni ngumu sana inahitaji kujitoa kafara
 
Udom college of health sciences(CHAS) Md1 students tupo class Sasa na teacher wa biochemistry toka bugando hajali 9 December ni mwendo mdundo saa 2~11 kwa wiki mbili hadi amalize topic yake #TibaPagumu
 
ataly sana si tpo na ticha apa anadondoka ma engeneering design tokea sa mbili anakuambia ye leo anasafisha vichwa vya laia..
 
duh maeneo ya st joseph tunafanya usafi huku na wahindi
 
Vijana wa fist year huwa mna mbwembwe.haya bana tushajua mnapiga udaktari na wengne engineering,hongereni wasomi wetu,ila mkumbuke vyuon hakunaga cha siku kuu wala weekend.sisi hapo mliman tuliwahi kupiga test siku ya mwaka mpya.
 
Udom college of health sciences(CHAS) Md1 students tupo class Sasa na teacher wa biochemistry toka bugando hajali 9 December ni mwendo mdundo saa 2~11 kwa wiki mbili hadi amalize topic yake #TibaPagumu

Kijana acha kuchat,kula shule ya Dr.Kamugisha
 
AMUCTA apakariki unaambiwa hakuna cha kusogezwa tarehe ya kufungua chuo et almanac iko palepale.
 
Changamoto za kitaaluma jadiliana na wanadarasa

Tuambie kitu ambacho hatukijui
 
Back
Top Bottom