makologoto
Member
- Sep 21, 2013
- 38
- 27
Juzi tulikuwa na ziara ya kufuatilia maandalizi yaununuzi wa zao la Pamba wilayani Kwimba. Katika mizunguko yetu tulipita jimbola Sumve. Kama kawaida siku hizi mijadala ya kisiasa haiishi kwa watu. Watuwengi wakawa wanasema hawamtaki kabisa Ndassa amekuwa madarakani miaka 20.Wakawa wanasema anashinda tu kwa kuwa anatumia uchawi na wapinzani wake wakaliwaliopita baadhi yao tayari walishakufa, hawajui kama yeye anawaua au la.
Lakini jina moja la LONGINO ndo lilikuwa linaongelewa sana kila tulikopita nawashabiki wa vyama vyote km CCM,CHADEMA na CUF. Mimi simjui huyu jamaa lakiniwanasema ni msomi sana, anasoma digrii ya udaktari Uingereza pia huwaanachambua mpira wa ligi kuu ya Uingereza kupitia Radio Free Afrika. Wanasemaanakubalika sana kwa makundi yote na vyama vyote vya siasa kwa kuwaamewasomesha vijana wengi jimboni, ameweka solar ktk baadhi ya shule za kata,na anasaidia wajasiriamali sana. Tatizo lake wanasema hatoi hela lkn kwakuongea anamwaga sera za kueleweka. Wanasema kura za maoni ccm 2010 alikuwa watatu, wanasema alikuja amechelewa sana watu wengi hawakuwa wanamjua na piaalikuwa hahongi, alikuwa akimwaga sera tu lkn sasa watu wengi wanamjua. Wanasemahuyoakija kwa chama chochote atamwondoa mbunge wa sasa. Inasemekana vyama vyaupinzani vinajaribu kumshawishi atoke ccm ajiunge na chama chochote chaupinzani ili vimuunge mkono km mgombea pekee wa wapinzani. Baadhi ya watuwanasema km jimbo la sumve litakuwa na wagombea wawili tu ndani ya ccm maoni auuchaguzi mkuu lazima Ndassa atashindwa lkn km wagombea wengi watajitokeza basiNdassa atawashinda kwa kuwa wagombea wengine watazigawana kura.
Tafadhali wanasumve hebu mtupe faili Zaidi la huyu ndugu tumpime.