SawaBIG NO!!!!
WANASIMBA TUMEWEKA ROUND NZIMA YA KWANZA HII HAPA, ROUND YA PILI TUKAPINDUA MEZA SO TULIENI🙂🙂🙂
View attachment 1995646
TUNAKUJA, TUTAWAPUMULIA MGONGONI SO LEGEZA KIUNO ACHA MAKASIRIKO😎😎😎😎
[emoji16]kwa kujipa matumaini hamjambo[emoji1787],kesho popcorn mapema kuliangalia kubwa jinga KOLO likifa 4-2 kwa Mkapa...msimu huu itoshe tu kusema asanteni[emoji120] kwa kushiriki.Upepo ushatulia tunamuwaza namungo tu hapa
Next level[emoji16]kwa kujipa matumaini hamjambo[emoji1787],kesho popcorn mapema kuliangalia kubwa jinga KOLO likifa 4-2 kwa Mkapa...msimu huu itoshe tu kusema asanteni[emoji120] kwa kushiriki.
Kwahiyo nusu fainali ya CUF ileeee[emoji16]
Cuf ni niniKwahiyo nusu fainali ya CUF ileeee[emoji16]
Hizo tetesi tu, hata hivyo ikumbukwe kuwa Mo hatochukua kocha wa kuwalipa gharama kubwa. Angekuwa ni mtu wa hivyo basi tungeona akinyang'anyana wachezaji na akina Al Ahly, Hororya, wydad Casablanca, n.k ila tunamjua ni mwekezaji mbahili.
[emoji851][emoji851][emoji851]Cuf ni nini
Achana na soka baki kwenye umbea tu
Namungo Ni katawi kenu hako, mtachukuwa point zote kwa njia yoyote halali na haramuUpepo ushatulia tunamuwaza Namungo tu hapa
Mambo yanabadilika haraka sana, muda kama huu msimu uliopita Simba alikuwa anapiga watu nne nne sasa kushinda ni apewe penalty au timu pinzani wacheze pungufu, alikuwa club bingwa Afrika ila sasa yupo viti maalum na alikuwa na kale kamsemo ati, kwa Mkapa mtu hatoki, sasa wahuni wanamfuata huko huko na kumbandua.Kuna watu mbali mbali wanaosambaza uongo kwa kuweka mlinganisho wa mechi nne msimu uliopita dhidi ya mechi nne za msimu huu kisha akahitimisha kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita.
Wanaweka kumbukumbu mechi nne za msimu uliopita ni
1) Ihefu vs Simba: Simba win
2) mtibwa vs Simba: draw
3) prisons vs Simba: Simba lost
4) Simba vs ruvu: Simba lost
Jumla ya alama ni nne
Hivyo wanaona Simba imeimarika kwa msimu huu kuwa na alama nane, wakati msimu uliopita wakiwa na alama nne tu kwa mechi nne.
Uhalisia hauko hivyo, Simba hakukutana na prison wala Ruvu katika mizinguko minne ya kwanza bali alikutana na prisons mzunguko wa sita na ruvu katika mzunguko wa saba. Mechi za Simba zilikuwa hivi:
Ihefu vs Simba. Simba win 2:1
Mtibwa Simba. draw
Simba vs Biashara. Simba win 4 goals
Simba vs gwambina. Simba win 3 goals
Jkt Tanzania vs Simba. Simba win 4 goals
Prison vs Simba. Simba lost
Simba vs ruvu. Simba lost
Hivyo basi katika mechi nne za awali kwenye msimu uliopita Simba hakuwa na point nne bali alikuwa na point 10.
ze-dudu pamoja na Chaos Master na wengineo msijidanganye kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita kwa kulinganisha mechi nne za awali.
Atalipwa na nani?
Horoya imenyang'anyana mchezaji na Al Ahly lini mkuu ?Hizo tetesi tu, hata hivyo ikumbukwe kuwa Mo hatochukua kocha wa kuwalipa gharama kubwa. Angekuwa ni mtu wa hivyo basi tungeona akinyang'anyana wachezaji na akina Al Ahly, Hororya, wydad Casablanca, n.k ila tunamjua ni mwekezaji mbahili.
Simba sports clubAtalipwa na nani?
We tomboy kashabikie taarabu cuf ndo niniKwahiyo nusu fainali ya CUF ileeee[emoji16]
GsmAtalipwa na nani?