twenty2 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 296 Reaction score 33 May 27, 2011 #1 ni kweli wanasiasa ni waongo kwasababu wanapopewa madalaka hawatekelezi wajibu wao lakini kipindi cha uchaguzi ni wakwanza kutoa haadi nitafanya iki,nitawapa lakini wakisha ingia bungeni wanajikumbuka wao na matatizo yao.si ndio uongo wenyewe.
ni kweli wanasiasa ni waongo kwasababu wanapopewa madalaka hawatekelezi wajibu wao lakini kipindi cha uchaguzi ni wakwanza kutoa haadi nitafanya iki,nitawapa lakini wakisha ingia bungeni wanajikumbuka wao na matatizo yao.si ndio uongo wenyewe.