Wana siasa walio bugi 2015, hadi sasa wanatafuta pa kutokea

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,206
18,548
1. Kafulila (Kafulila kosa lake halikua 2015 bali mwaka alipo ondoka cdm na kuungwa mkono na zzk)

2. zzk kabwe ( Kuna mambo aliamini yatatokea xha ajabu hakuna lililo tokea kama kuamini wabunge wa ccm na cdm wangeungana naye kwenye chama hake kipya, sasa ana haha apate pa kujishika haoni na anafyeka pori pekee yake wakati ukawa wanasonga mbele)

3. Lipumba ( huyu alidanganyika na ccm akidhani watampa nafasi, kumbe baada ya kutumika wakamtema)

4. Dr Slaa ( Huyu naye ni kama lipumba, aliimgizwa mkenge na ccm, sijui kama bado anakula bata, lakini nauhakika kuna kitu ana kimiss bila cdm)

5. Mwigamba ( Alidanganywa na kundi la zzk na sasa hana pa kutokea)

6. Machali ( danganywa na timu zzk)

7. Nchimbi ( danganywa na timu lowassa)

8. Membe ( danganywa na timu kikwete)

9. Kingunge ( Danganywa na Timu lowassa)

10. Masha ( Danganywa na timu lowassa)

Lowassa sijamweka hapo kwa sababu , chadema ndio amepata nafasi ya kuendeleza ndoto zake, angebaki ccm ndio ulikua mwisho wake kiasiasa 2015.
 
Haya zungusha Mikono,

Wasubiri waje akina Ben Saanane na Malisa wamalizie kale kawimbo
 
Chief siasa na game kama ilivyo soka, mieleka etc. Ni kweli kuna wanaonekana wamepoteza lakini kama bado wanaupenda mchezo huo wanaweza kufanya comeback kubwa.

Kwangu hakuna aliyepoteza bali muda huu wamefungwa bao ila bado kuna nafasi ya kurudi.
Wengi mtasema wamepoteza lakini tukubuke hili game ni mkakati na mkakati huo hufanywa kimya kimya. 2018 ndio utaanza kuona mikakati hiyo.
 
Ni mapema sana kusema wamepotea kwenye game. Muda bado na sasa ni muda wa mapumziko kusubiri ingwe ya pili. Pia Watu wapokimya wakitafakari njia sahihi ya kutokea na muda utafika natumai tutawaona tena kwenye game wakiwa wenye matumaini ya kufanya vzr ili ndoto zao zitimie.
 
watatumia gharama kubwa sana ukilinganisha na wangezuia makosa waliyo yafanya.
 
Chief siasa na game kama ilivyo soka, mieleka etc. Ni kweli kuna wanaonekana wamepoteza lakini kama bado wanaupenda mchezo huo wanaweza kufanya comeback kubwa.

Kwangu hakuna aliyepoteza bali muda huu wamefungwa bao ila bado kuna nafasi ya kurudi.
Wengi mtasema wamepoteza lakini tukubuke hili game ni mkakati na mkakati huo hufanywa kimya kimya. 2018 ndio utaanza kuona mikakati hiyo.
mkuu, wachache sana wengine ndio imetoka, mfano mzuri ni membe, siazi angekua magogoni, ila baada ya kubugi magogoni mpaka sasa asubiri kukaribishwa kunywa juice za ikulu na wahusika.
 
Baba jesca, kudhani kuweza kupiga pushup ndio kuweza kuongoza nchi sasa hata sukari tuu imemshinda. Watoto wanapewa miwa kula na viazi kama kifungua kinywa
 
Back
Top Bottom