Wana saikolojia wanasema hivi

Kwa mimi niko namba 1 na 2 namba 3 ina apply nusu as I know am not weak . Thanks maana namba 7 ina apply kwa mtu wangu wa karibu na sikuwa najua kuwa akifanya hivyo natakiwa kurudisha mapendo, from now on instead of kununa na kuchukia nitakuwa namhug na kusmile na kumfanyia kile kitu anapenda, I will show him love.
Thanks MziziMkavu maana nisingeisoma hii post yako nisingepata hii taarifa, be blessed as u move me one step forward.
Good day!!:smiling:
 
Last edited by a moderator:
No 7 ni yangu kabisa mkuu, hasira muda wote! inafika mahali hata binafsi unakuta unajichukia....
 

Kama amesoma hapa leo jiandae kumfanyia hivyo...!!!
 
Kama amesoma hapa leo jiandae kumfanyia hivyo...!!!

nimeshanunua zawadi maana kwa hasira na kununa zoezi la zawadi nilishalisitishaga sasa nimelifufua upya bila kujali kama yeye ataninunulia au la. Hehehehee na nimeshamwhats up maneno ya malove love amebaki ameduwaa tuu maana long time hakuwa amepata maneno kama hayo kutoka kwangu.
 

ha!ha!nawatakia mafanikio mema leo hizo lips nazoziona kwenye picha naziulumia sana Ha!ha!ha! maana.. ha! tuyaache kuna watoto humu wameisha vamia Jf.
 
Namba 3 yangu hiyo,,,,,,,sipendi kuwa muwazi sana,,ila inanisaidia katika harakati zangu
 
Namba 3 yangu hiyo,,,,,,,sipendi kuwa muwazi sana,,ila inanisaidia katika harakati zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…